INAUZWA Dell latitude e6430

mwanazuoni mgeni

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
1,944
Reaction score
1,726
Nauza laptop imara aina ya dell
Ram 4gb
Hard disc 500 GB
Processor core i5
Betri inakaa masaa manne na chaji laptop bado iko katika condition nzuri
Nauza kwa laki nne na nusu ( 450000)
 
Bei mbona juu sana Mkuu

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Nauza laptop imara aina ya dell
Ram 4gb
Hard disc 500 GB
Processor core i5
Betri inakaa masaa manne na chaji laptop bado iko katika condition nzuri
Nauza kwa laki nne na nusu ( 450000)
mkuu tufanye exchange.. nifanye kazi kwako mwaka mzima uniachie hiyo laptop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…