DELL Optiplex 210L

DELL Optiplex 210L

Bontowar

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2009
Posts
520
Reaction score
53
Wakuu naomba msaada nina desktop inatoa sauti ndogo saana japo nimeongeza mpaka mwisho kwa internal speaker.

Nika connect external speaker but suiti ni ndogo saana

Je inaweza ikawa inatatizo gani?
 
Kwa haraka haraka Volume control iko mara mbili kwenye Kopmyuta unayosema umefanya na kwenye Application software unayotumia ambayo hujasema inatumia application gani kusikiliza ua kuangalia issue zako. Jaribu kutumia application kama VLC player uone kama itasaidia

Na kama walivyokushauri wadau kama hizo za hapo juu zote ziko safi basi labda inawezekana drivers za speaker zilizokwua installed zinapishana na speaker hardware halisi za Optic Dell yako. So check driver installed kama ziko compatible na hardware.
 
asante saana

ninatumia VLC na KMPlayer

Lakini hakuna madatiliko
 
Namna mojawapo ya kutatua tatizo lako ni kutumia External speakers with amplifier, Ninavyofahamu kuna aina mbili au zaidi ya computer speakers kuna zinazotegemea computer kama amplifier yake na zile ambazo zinajitegemea. Hivyo basi kama sauti kutoka computer ni ndogo, iroute thru external amp then toa kwa speaker itadunda kama kawa!
 
Back
Top Bottom