Kwa haraka haraka Volume control iko mara mbili kwenye Kopmyuta unayosema umefanya na kwenye Application software unayotumia ambayo hujasema inatumia application gani kusikiliza ua kuangalia issue zako. Jaribu kutumia application kama VLC player uone kama itasaidia
Na kama walivyokushauri wadau kama hizo za hapo juu zote ziko safi basi labda inawezekana drivers za speaker zilizokwua installed zinapishana na speaker hardware halisi za Optic Dell yako. So check driver installed kama ziko compatible na hardware.