Dell OptiPlex GX280 Used Computers Zinauzwa

Dell OptiPlex GX280 Used Computers Zinauzwa

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Wana JF,

Kuna wadau wanaagiza used computers toka Netherland nilikutana nao kwenye pita pita zangu leo nikaona kuna ndugu zetu wale wa Internet Cafe, Mashule, nyumbani n.k ambao wanahitaji computer used.

Computer hizi zina specs zifuatazo:

Make DELL
Model OptiPlex
Series GX280
CPU Intel Pentium IV, 3.0Ghz
RAM 512MB (Can be upgraded on request)
HDD 80GB
Optical DVD ROM (nyingine ni DVD ROM CDRW)
Monitor DELL 17'' TFT
OS Microsoft XP Professional SP3

Price ni Tsh 480,000 kwa moja. Volume discounts zipo
Zimebakia 18 (leo hii) ila nyingine zinaweza kupatikana.

Pia wameniambia wanazo laptop za Samsung. Specification na bei bado sijazipata, ntaweka hapa punde nikizipata.

Kwa maswali zaidi, nitwangie 0713 809050 au ni PM.

Karibuni

(Picha zime-editiwa background)

dell-optiplex-gx280metTFT.jpg

DELL UPC-DELL-GX280-SFF-3.jpg

dell img00117016242.jpg
 
Bora hizi
 

Attachments

  • Screenshot_2024-11-17-02-04-43-828_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_2024-11-17-02-04-43-828_com.instagram.android.jpg
    188.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom