1. Angalia kama IDE slot kama ziko fresh yaani zi swap IDE ya Hard disk na ya CD hapo utagundua kuwa slot ndio inashida au lah.
2.Washa komputer then ingia kwenye bios settup kisha switch on all drivers yaani IDE 1,2,3,4 then uwashe maana kama computer ili wahi kutolewa cd huwa ina ditect na kuturn off all unussed slot hivyo inawezekana ikawa imekuwa offline.Solution niku iturn on ktk bios.
3. Angalia jumper za cd rom yako je ziko fresh? kama ktk slot ipo pekee inatakiwa iwe master.
Njia rahisi ya kusorve ilo tatizo fanya hivi iwapo slot imekuwa mbaya tafuta cable ambayo utaweza kuconnect HDD na CD kisha uviconnect vyote kwa upamoja. na kufanya moja master na nyengine slave.
Kwakumalizia download dell bios firmware updates ila hii inaitaji umakini wa hali ya juu maana kosa moja unaweza kuizimisha komputer 4 ever.