DELL STUDIO 17 Window 7

DELL STUDIO 17 Window 7

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
1,998
Reaction score
356
Hi Team

Kuna Mtu ameshawahi tumia hii Computer...Ikiwa na 64bit.Ni matatizo gani ambayo umekutana nayo.Nimenunua hii machine.64bit nasikia zina matatizo kwenye drivers zake kwa kuwa nyingi ziko kwenye 32bit.Ni software gani ambazo zimekuwa zikiwaletea matatizo katika installation?

Ni vyema kupata review ya wengine ambao wanatumia 64bit.

Please.
 
Back
Top Bottom