dem anatoka na mshikaji wa rafiki ake

Ivan

New Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
4
Reaction score
0
kweli wanawake hampendan,madem wawili marafiki,mmoja kaolewa ,huyu alie olewa ameanza kutoka na boyfriend wa rafiki ake,tena katafuta sababu wakavunja urafik wao,pia anamshaur uyu boy friend amuache dem wake kwa kumpakazia mambo kibao,huyu dem hajui kama best ake anatoka na boyfriend ake,
 
Ivan watupa taarifa au wafanya nini? Mi binafsi cjakuelewa.
 
Ndio dunia hiyo kuchagua mashoga ni muhimu, we unakuwa na shoga mkiwa na bwana ako anaongea utafikiri nini, au akiona mmekaa wote anaanza kulegeza macho mapozi yasioeleweka bado tu unampeleka kwa shoga yako
 

If only huyo jamaa took time to use his big head instead of the other___, he would have realized its wrong to date your girlfriend's friend , who is a married woman for that matter,!
 
Sasa hapa
tukusaidie nini mkuu
au ni zogo tuuu..
 
Sijaelewa unataka nini Ivan..
Ushauri wangu umshauri huyo jamaa aachane na huyu mke wa mtu, na pia ikiwezekana mweleze huyo anayeibiwa ukweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…