Dem mchunaji

vocha tu unaona hatari? Akikuomba hela ya saluni? Akikwama akakwambie umpe hela ya matumiz si utazimia wewe?
 
Mnunulie simu ya postpaid. Mwisho wa mwezi akiwa na ka-bill kake ka laki 2 ataacha!
Si umuambie awe anakutumia tafadhali nipigie manake vocha anataka ili awasiliane na nani?
 
Mhhh kazi kweli kweli, siku zote usikubali mwanamke aku control hata siku moja, mwanamke akishaku control utajuta kuzaliwa, na wewe ulivyoanza nae ndio ulimzoesha hayo mambo ya vocha na kujifaanya una hela nyingi sana, sasa ndio faida yake, inabidi uwe mgumu baadhi ya sehemu sio kulegea na kuogopa kuachwa, shtuka kijana nakuwa open kwake mwambbie wewe mwenyewe hela unapewa na wazazi thats all. unaogopa kuumwambia ukweli, bora kuitwa mtoto wa mama kuliko kuka bila hela mfukoni
 

umenena bingwa !
 
Nasoma kidato cha tano na yeye coleg

Dogo nanona unadandia daladala kwa mbele, kumbe bado mwanafunzi? Concentrate kwenye masomo, starehe za dunia haziishi, kila siku kuna design mpya. Ukishakuwa na kipato chako unaweza kutumia unavyopenda kuliko kugawana pesa ya matumizi unayopewa na wazazi na mtu mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…