Teh teh mi simjuiiakishindwa kutaja nitamtajia mmoja.. teh(kidding)
Nataka uziweke mbona huwekiMwenzako kasema nikustahi..ila ukitaka nitaziweka apa
Mla ugoro ww. Sikitaki ww kigagula princes anne
Washa penzi kamaa moto demi$connor
Hizo ni ndoto nzuri za kila binti. Nawashauri waingie kweye ndoa wakiwa wamejipanga. The struggle is so real!!
.
.
Ndoa zenye amani zipo nyingi tuu!
Too personal!
Hakuna undugu wala uhusiano. Just a crazy fan of mine.Swali! Huyu Connor ni Nani kwak0? Au mna mahusiano gani?
Connor == kono kono [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
ney aliimba "wapo"danga la kiume
Dogo kanye utoe ugoroSwali! Huyu Connor ni Nani kwak0? Au mna mahusiano gani?
Connor == kono kono [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Simfahamu ndo namuona leo. Atakuwa ni fan wangu tu na si zaidi
Je ni kweli kuna mapenzi jf Na mtu anaweza pata mwenza humu!!?
Mmmmh!Swali la kichokozi hili..
.
.
Yes huwa inatokea, nami ni binadamu pia!
Ha haa haya nasubiriUsijali
Ile ahadi yangu ipo siku nitaitimiza kwako
Uwe na subira
Dogo ukikua utaelewaCc Connor kono kono tuliza mshono
Mapenzi yapo na mtu anaweza kupata mwenza, ila kumpata mwenza sahihi hapo ndo mtihani.Je ni kweli kuna mapenzi jf Na mtu anaweza pata mwenza humu!!?
Ungekuwa hujaolewa ungeweza date mwanaume humu!
Why
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo ukikua utaelewa
Washa penzi kama moto demi$connor
Unapenda couple ipi kati ya hizi zaidiMapenzi yapo na mtu anaweza kupata mwenza, ila kumpata mwenza sahihi hapo ndo mtihani.
Waliopo jf ni hao hao waliopo mtaani,
Hapa unaweza mpenda mtu kupitia avatar au comments, mkionana live penzi linakufa.
Ningeweza kudate kama ningepata wa kuendana nae..