aisee!Baharini, msasani beach. Long long time ago
Usawa unahitajika katika mambo ya kama elimu, mirathi , afya na mengine.
Linapokuja suala la ajira au madaraka isiangaliwe jinsia bali uwezo.
Asante.One of the best reply
Wewe dogo naona unanifuatilia sana. kichwa likubwa empty kazi kula ugoro na majani ya chaikwa bahati mbaya mama shabrina, ubuyu tumeishiwa kumebaki na ugoro tu jirani yetu kiherehere anadanga nao hapo juu
Aisee..am too honest you know. Hili silijibu libaki kwenye mabano.aisee!
Ukiwa nyumbani peke yako umejifungia chumbani unapenda kufanya nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Condom au kavu?Jang'ombe
PoaAisee..am too honest you know. Hili silijibu libaki kwenye mabano.
Kavu with the one i love.Condom au kavu?
Ya ngombeYawe ya mbuzi
Hakuna cha ajabu. Vya kawaida sanaPoa
Je ni jambo gani ulimfanyia mumeo kiasi kuwa hutokaa usahau
Na nn kama hicho alikufanyia
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kunishobokeaMm nina kikopo cha vaselline. Karibu dogo
Washa penzi kama moto demi$connor
Hayafai hayoYa ngombe
kwa bahati mbaya mama shabrina, ubuyu tumeishiwa kumebaki na ugoro tu jirani yetu kiherehere anadanga nao hapo juu[/
Itakuwa Ana arosto ya ugoro huyo kiumbe
Ikiwa ukiachika kwa sababu yeyote hatuombei utachukua uamuzi UPIHakuna cha ajabu. Vya kawaida sana
Aisee..am too honest you know. Hili silijibu libaki kwenye mabano.
Withdraw ndani au nje?Kavu with the one i love.
Nimeshawahi, ni ujana tu nikikua nitaacha
Nitakubali matokeo. Mtoto ni wetu sote na bahati nzuri ni mkubwa, tutaendelea kumlea wote wawili kila mmoja kwa wakati wake.Ikiwa ukiachika kwa sababu yeyote hatuombei utachukua uamuzi UPI
Je utamuachia mtoto mumeo!?
Sent using Jamii Forums mobile app