Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Poa tuHa haaa husna mambo?
Ha haaa huyo anayezungumziwa ni mume wangu wa jfdemi unashtakiwa Na kampuni ya muosha rungu TV show kwa udanganyifu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Saint hivi vinawafaa zaidi wanaume kuliko wanawake.Sitaki. Nakuletea karamga supu ya pweza na mihogo
Hmmm?Yes lakini itategemea na amount.
Culture gal what interesting!Interesting...... [emoji122] [emoji122]
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Naona mzee mzima unaguna nnAiseee......[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mchepuko au 'mke mdogo'?Marahaba mdogo wangu....namsoma mchepuko wa lee
Mueleweshe vizuri maana mimi si mchepuko ni mke halaliMchepuko au 'mke mdogo'?
Missing you too babe
Twende uwanja Wa fundi seremalahehehehe sinaona art zako tu bwana mdogo? teh
Utaweza huu mziki sio Wa nchi hii!ngoma ya watoto haikeshi.... nayataka mimi sasa!
Ulitakiwa umwambie "lione" maana ni bonge la jitu si kadogodogo km unavyofikiria.kaone vile...
Kabisa..can't wait..