emmyta good morning nmefurah kuona mwandiko wako mtt mzur[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sema wewe jirani.
emmyta jana weekend ulikuwa pande zipUmeonaeee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu sana mtt classic
emmyta nakuelewa sana mtt njoo nikutambulishe kiumenMmh. Haya tunashukuru ahsante sana Ubarikiwe.
vip tena emmyta, usiwasikilize wapambe njoo kwa mnyamwez tuyajengeHahaaaa. Mwanajangwani mwenzangu kuzuzuka huku ni kwa kipekee aisee.
Watu wa 4 kwa wakati mmoja lol.
Mzee Baba inabd nikupe jukumu la kutoa posa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimesahau nilichokuitia
emmyta ushaamka lkn mi niko kwa bed apa kuamka bado bado[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora ata. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
aisee, watu wanne atawawezea wapiHahaaaa. Mwanajangwani mwenzangu kuzuzuka huku ni kwa kipekee aisee.
Watu wa 4 kwa wakati mmoja lol.
Mzee sunajua love unachanganya akiliaisee, watu wanne atawawezea wapi
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Wiki Tatu ni nying mzeeNinja umejiunga juzi tu umejuaje kama ni wakali?
emmyta ufanan na maneno haya mremboNdio hapo nashangaa. Ila wacha ajichangamshe itakuwa anataka kuizowea jf kwa haraka. Si unajua ugeni.
Ndio lakini wote wa4 utawaweza mkuu?Mzee sunajua love unachanganya akili
Wa kishua
So unataka nichague mmoja sioNdio lakini wote wa4 utawaweza mkuu?
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Nikuwa busy kufaidi weekend!Ooooo demi weekend yote ulijificha wapi mrembo
Wa kishua
Siku ingine unisanue tutoke wote tukauze suraNikuwa busy kufaidi weekend!
Ndio inapendezaSo unataka nichague mmoja sio
Wa kishua