Mi dp kitu kidogo ila nakupenda kinyama Maserati
Wa kishua
Sasa unatupenda wa 4 kwa pamoja!!!Mi rijali nitakupenda na kukujali mtt mzur
Wa kishua
Weweeee una utani na kaka BAK wewe. Atamuweka Tundu Lisu wakupe kesi weweeeKumbe nimepata shemela mi nitakuwa nawatoa out na kaka ako usiogope mtt mzur
Wa kishua
Mzee Baba kupenda ni ugonjwaHuu uzi utafika mbali sana kwa style hii
Ohhh iweke bas mtt mzur yaan nataman nikuletee funguo ya Gari ukae nayo Sema ndo nashindwa babyHa ha ha ha ha. Sawa nitaiweka kwa ajili yalo
Kweli mwamba ila ungeenda hospitali kwanzaMzee Baba kupenda ni ugonjwa
Wa kishua
So unataka nichague moja tu!! [emoji17] [emoji17]Sasa unatupenda wa 4 kwa pamoja!!!
Maserati nitakufungulia apartment downtown afu kaka ako tunamweka dukan, usiogope Maserati wanguWeweeee una utani na kaka BAK wewe. Atamuweka Tundu Lisu wakupe kesi weweee
mzee madokta wenyew wa nawapigia mjeled had wagonjwa chezea malov love weKweli mwamba ila ungeenda hospitali kwanza
Mkuu mi napita tu unadhani nimekuja hapa ili nisikie maneno haya?Unaonekana uko Bomba sio
Wa kishua
Weka yenye sura ngumu. Pm utaisikia kwa jirani ha haaaHa ha ha ha. Aisee imebidi nibadilishe dp Maana pm zililuwa zinafurika. wengine mpaka kwenye nyuzi wanajiachia tu kwa sababu ya dp yaani
aaaaaaah usiogope sunajua wtt wazur wakinuna sura inachukiza endelea kutabasamMkuu mi napita tu unadhani nimekuja hapa ili nisikie maneno haya?
Sent using Jamii Forums mobile app