Demiss amepotelea wapi?

Kwanza tukipigwa tunakufa??
Maana kuna vizito zaidi ya hivi tumepigwa navyo kichwani live tena juzi tu hapo still tuko strong as nothing happened😂😂

Sema huku ndani kuna kitu kikubwa sana nimejifunza leo aisee
Tunaanzia wapi kufa!! Maana ni tumekomaa mpaka tukakomaa tena

Tuzidi kujifunza 🤣 ndani kuzito sana humu...

Ilo funzo nilikute kule na mm nijifunze 😂
 
Usi pretend kuwa hujijui kuwa wewe ni mpuuzi wakati it's written all over you. That's why nimekuambia you always think you can outsmart people but the truth is you are just a joke.

I will stop here for now. Until you make me go on.

Wewe hata ukisema mimi ni nyani au ngedere mimi SIJALI , na lolote ulilonalo kuhusu Becky nimekupa ruhusa uliweke naona bado unajishtukia.....sina nililofanya baada ya hizo awards,usitafute pa kushika dada.....
.
 
Becky ni mojawapo ya watu nawapenda na kuwakubali humu JF na wote nilishawaambia. Kama ana makosa yake ambayo kila mtu awe mimi au wewe tafadhari nikuombe yaishie uko.

Alafu wakeleketwa humu hatuna shida na maisha binafsi ya mtu, tatizo letu ni pale maisha ya mtu yanapoathiri negatively maisha ya watu wengine. Mtu kama Demiss nimesema hapo hatuna shida nae ila mtu kama Parabora mzee wa Uswizi lazima tupambane nae, bila hivyo atatapeli watu. Mtu kama mzee wa tuvyombo twa usafiri ukiachana na sifa zake hakuwa na shida na mtu sasa unapambana nae wa nini
 
Tunaanzia wapi kufa!! Maana ni tumekomaa mpaka tukakomaa tena

Tuzidi kujifunza 🤣 ndani kuzito sana humu...

Ilo funzo nilikute kule na mm nijifunze 😂
Kwani hapa kuna nini kipenzi?
 
Tunaanzia wapi kufa!! Maana ni tumekomaa mpaka tukakomaa tena

Tuzidi kujifunza 🤣 ndani kuzito sana humu...

Ilo funzo nilikute kule na mm nijifunze 😂
Kuna umuhimu nyuzi za hivi ziwepo mara kwa mara ili tuzidi kupata experience na kukumbushana yanayotokea huku kwenye jamhuri ya watu wa JF😁

Nakutumia fastaa
 
Hivi huyu mzee wa Uswizi yupo? Nae alikua na moto sana
 
Dah Parabora nimemkumbuka sijui ni jana baada ya kuona Uzi unasema 'ogopa sana watu wanaonyoa vipara.

Nikakumbuka vipara flani ... Ila humu ndani ni msituni amazon
 
WEKA HAPA, mbona umenyamaza??? Mpuuzi tu wewe..
 
Mzee siku hizi umevurugwa...
Kausha,kausha jamaa.
 
Hivi huyu mzee wa Uswizi yupo? Nae alikua na moto sana
Alipoteana baada ya jopo likiongozwa na kubwa la maadui Ndizi mshale kumkamata. Kwanza kabisa mimi nilikuwa nishamkataa, tangu pale aliposema yuko club sijui kabambia mtoto wa kizungu kamuelewa ila akatokea Kiranga anayeijua Ulaya mwenyewe sasa, akamuuliza umeenda club gani wakati Switzerland ina lockdown kama wiki sasa? Hapo shutma za watu kuwa Parabora anaonewa wivu wengine walio nje hawatoi connection.

Siku chache baadae Ndizi mshale akaja na uzi wa kumuumbua. Parabora akaja na ID yake ya 'mmama mtu mzima' aliyedai Parabora kamsaidia mwanae akasome nje. Akatokea member nadhani ni Makaveli akaonyesha ufanano wa ID zile na kitu kizito kikamdondokea Parabora kichwani.

JF wanapenda uwe muongo na utaje vitu kirahisi watakushabikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…