Demiss amepotelea wapi?

Wee nakuogopa, kna mtu alinitonya kuhusu wee tangu zaman mbna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
naomba umpuuzie ni watu wasiopenda maendeleo yangu sina dhambi 😁
 
Aaa wapi kamwe katu haiwezi kutokea nalea wajukuu sasa kula kimasihara nimewaachia vijana.Ni ushamba kutoka na mtu kuja kumuanika jukwaani kwani sex kuna ajabu
Sweetheart unachat na nani?

Kwani kabla ya kutumia hii ID ulikuwa unatumia ipi? Nijibu hata kwa PM kama unaogopa kumwaga mchele kwenye kuku wenye njaa
 
Tenaa nakuja kweli ujue, [emoji23][emoji23][emoji23]
Af zawadi za stories of change, umekula peke ako? Ila wee babuu mbna hujui kulea mjukuu?
Hebu wacha maneno mingi hebu niflash ule mtandao unaopatikana tarakimu zisome fasta ukajipoze na cider kadhaa kwanza
 
Kuna mwanamke alinizingua na nilikuwa namkubali sana ningeweza kumdhalilisha ningeweza lakini Katika kitu cha kipuuzi mwanaume anaweza fanya Chini ya jua ni kumdhalilisha mwanamke uliekuwa unadate nae kwa kuvujisha picha zake za ovyoo au details zake za siri sio Sawa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ukikumbuka ulivokua unatembelea hizo id mwili wote unakufa ganzi.

unaenda kwa mbiti unatupia maneno, unarudi kwa manengelo unatupia vitu, unamfungua na wangari unatupia muneno mutamu mutamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afu matembezi yenyewe sasa unayafanyia PM huko

Na Id zote zinakupa kura ya ndio LOL
 
Humu kuna mdada mmoja tu nampenda kishenzi daima siwezi mzingua chochote hata akiniwakia..

Ila hawa wengine ni wa kutupa kwenye dustbin, kuna yule id yake ilikuwa inaanza na k mwisho ni i
Alinicheki pm akaniomba namba ya whatsap cha ajabu nikatongozwa akanipa picha anadai anakaa arusha na mumewe yuko serikalini akapiga video call sikupokea, picha yake ninayo naona niifute maana ni ujinga imepita muda.

Nilipomuona mdada mwenyewe nikamfikiria mumewe nikabaki kumuonea huruma jamaa tu..

Sometime Huruma inaniingia.
Cha ajabu saivi huyu Dada kabadili I'd anashinda mmu kule anadai hatoi papuchi kizembe kabisa anajiheshimu

Nacheka sanaa..

😁😁😁
 
Nasubiria na wewe ubadili ID nikuanzishie uzi...

Ndio utajua hujui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nibadili ili iweje tena babuuh? Hahahah wee anzisha tyuuh mbna.
 
Forum nzito sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…