Demiss amepotelea wapi?

Tume miss kwa kweli arudi JF hakuna asiyesemwa maiti tu anasemwa
 
Nakumbuka tulikuwa tunakutania sana
Ulikuwa unapenda kusema. β€œNimekudharau sana”
 
Sijui kwa nini mods waliufuta uzi ule. Kwenye uzi sikutaja jina la mtu wala kutoa hints bali niliamua kushare hiyo experience ili iokoe gharama za vijana humu ndani na pia indirectly kuwaomba wanawake wa humu wasifanye hivyo maana huo ni utapeli kabisa. Anyway naheshimu maamuzi ya mods kwa kuufuta huo uzi.
 
Type tahadhri Na sie
 
[emoji16][emoji16][emoji3]nakumbuka tena baada ya kumuexpose ndo akaanza tumia jina jipya...!!nilikula ban nzuuri that day tulikushambulia bwanaa!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]sisahau aseeeh...!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Umebadili id inabidi nikuje [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji6][emoji6][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]....!!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…