Demiss amepotelea wapi?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ilishatumwaga humu lakini !!
Hata wakati huo pia sikuoina. Ila kiukweli kabisa ingekuwa vizuri ikiwa ntamfahamu mpambanaji na mfanya biashara wa madini wa hapa Jf.
Naamini kuna atakaenitumia pm
 
Huyu jamaa alikuwa mshamba sana. .sasa ndio nini hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…