Demiss amepotelea wapi?

Ungetupa 100 kabisa bwana.
Ila mkuu uzuri wa mtu uko machoni kwa mtu. Hata hao unaoona sio wazuri kuna watu wanawaona kama malkia kwa uzuri walonao.
Huwenda ila mwanamke kama ni mzuri ni mzuri tu, utaona sifa zake kila mahali. Ila wewe kiboko sio kwa umbo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…