Natumaini atajitokeza maana tumem miss sanaMwanadada Demiss, almaarufu kwa Mada zake tata sana!! Hapa Jamii forum, tulishuhudia akionyesha kipaji chake kingine cha uchoraji. Wapo Baadhi ya member aliwachora kwa umaridadi Mkubwa sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Demiss VP umepumzika kidogo au?
au kalamu imeisha wino?
Karatasi zimeisha?
Nimemiss Katuni zako aisee
Usiwage unapitea tu angalau unatujuza kidogo tukajuaNitarudi muda sio mrefu nilipata matatizo kidogo
Nimeshawajuza mbn labda hujaona uzi wanguUsiwage unapitea tu angalau unatujuza kidogo tukajua
Poa karibu tena mama la mamaNimeshawajuza mbn labda hujaona uzi wangu
Nitarudi soonPoa karibu tena mama la mama