HIV positive....Duuh nilivyotafsir hyo kala umeme kabla ya kufungua Mungu anisamehe
[emoji3][emoji3]ajabu zaidi ni member wa 2017.Apumzike amepost meseji 28000 na zaidi, ama kweli kuna watu ni jf expert members sisi wengine wazugaji tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ulikuwa unasikia watu Wa hovyo, ndiyo kama huyu mleta threadSasa kwani yeye ni nani?
Ulijua ana ngoma hahahaha aaDuuh nilivyotafsir hyo kala umeme kabla ya kufungua Mungu anisamehe
Aisekama ulikuwa unasikia watu Wa hovyo, ndiyo kama huyu mleta thread
Demiss ndiyo yule mke wa Mganga wetu wa JF?
Kula umeme nilifikiria kahamia Tanesco
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndyo hukohuko, kapigwa shoti.Demiss ndiyo yule mke wa Mganga wetu wa JF?
Kula umeme nilifikiria kahamia Tanesco
Sent using Jamii Forums mobile app