RRONDO ππAise
Halafu kuanzia 2017 je sisi wa 2013Apumzike amepost meseji 28000 na zaidi, ama kweli kuna watu ni jf expert members sisi wengine wazugaji tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu unawafahamu wanaofanya Masaag hapo Dom makao makuu....i mean maarufu,Mana umenigusa kuna manzi yangu nahis ndo biashara mkuu....Tabia zao zipoje mkuusasa wamuache aendelee kuwafanyia masaag pale dom makao makuu ya nchi
Hapana[emoji23][emoji23]..hiyo umesema weweUlijua ana ngoma hahahaha aa
Ile ndoa ilikufa, tulitaarifiwa rasmi kipindi cha Christmas na New Year 2019Demiss ndiyo yule mke wa Mganga wetu wa JF?
Kula umeme nilifikiria kahamia Tanesco
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo tuna mgane na mjane humu JF?Ingawa kwa kiswahili nyoofu wote ni wajane.Ile ndoa ilikufa, tulitaarifiwa rasmi kipindi cha Christmas na New Year 2019
Weka maombi yangu kwenye bahasha yako yaende kwa pamoja kwa MunguDuuh nilivyotafsir hyo kala umeme kabla ya kufungua Mungu anisamehe
Mmhh, mbibi....Duuh nilivyotafsir hyo kala umeme kabla ya kufungua Mungu anisamehe
Mbabu za kuamkaa?Mmhh, mbibi....
Usijali nmeyaambatanisha.Weka maombi yangu kwenye bahasha yako yaende kwa pamoja kwa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahaba niue mbibi...Mbabu za kuamkaa?
[emoji23][emoji23]nakuja kukupa maan unayapenda mnooMahaba niue mbibi...
Acha wapost tu , maana wakiacha tutakosa pa ku-comment.Apumzike amepost meseji 28000 na zaidi, ama kweli kuna watu ni jf expert members sisi wengine wazugaji tu.
Sent using Jamii Forums mobile app