Mbona ndoa imekufa mapema sana?Ile ndoa ilikufa, tulitaarifiwa rasmi kipindi cha Christmas na New Year 2019
Cha muhimu ni kuwa ilikwisha kwa amaniMbona ndoa imekufa mapema sana?
Maana mbwembwe zao hazikuwa za nchi hii, nilihisi ni zile tamthiria za Philippines
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuh nilivyotafsir hyo kala umeme kabla ya kufungua Mungu anisamehe
[emoji23][emoji23][emoji23]Demiss ndiyo yule mke wa Mganga wetu wa JF?
Kula umeme nilifikiria kahamia Tanesco
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23]nakuja kukupa maan unayapenda mnoo
Mzee baba, habari ya mjini hapa jamvini ni Ex wako.[emoji23][emoji23][emoji23]
Jr[emoji769]
mkuu unawafahamu wanaofanya Masaag hapo Dom makao makuu....i mean maarufu,Mana umenigusa kuna manzi yangu nahis ndo biashara mkuu....Tabia zao zipoje mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena Amani ya kutosha. Naamini busara zimewatawala wote wawili hasa mzee baba.Cha muhimu ni kuwa ilikwisha kwa amani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848]
Makavu..siyo makubwa tena!Ile ndoa ilikufa, tulitaarifiwa rasmi kipindi cha Christmas na New Year 2019