Mtajeni tu bana tushagachoka kuhisiwa hisiwa kama mimi tajaTusimtaje. Tumuache tu. Ahangaike na roho yake.
Kwanza kuinama ndo mambo yangu. Acha nikainame kwa babu anipe jinaHahahaha, kazi kwako,...mtaka cha uvunguni...
Ahsante Rafiki ,ahsante Sana, hata PM nampotezea ,nazingatia ushauri wako ,nisamehe kwa kuropoka hiloSawa mtu chake nakuaminiaa ukikereka zaidi muandikie pm tu inatosha
EwaaaaaMi na mzigua hatuendani ujuwe...we ushanifahamu na kunijua eti..
Kwa kuwa mi mbaya au? Mscheewww. Mwenyewe sikutaki. Na namuita TMi na mzigua hatuendani ujuwe...we ushanifahamu na kunijua eti..
Tena usirudie hiyo kauli. We sio wa hivyo kabisa.
Afu unajifanya humjui eti...Tusimtaje. Tumuache tu. Ahangaike na roho yake.
Kwa kuwa mi mbaya au? Mscheewww. Mwenyewe sikutaki. Na namuita T
We bwana waonekana wa juu sana, sifiki huko, silawezi jamani...[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kuwa mi mbaya au? Mscheewww. Mwenyewe sikutaki. Na namuita T
Nisemeshe basi sakayo!! Unaondoka kwenda wapi tena...Ewaaaaa
Leo nitakusemesha kabla sijaondoka
Hahahaha, babu kayataka mwenyewe sasa muinamieKwanza kuinama ndo mambo yangu. Acha nikainame kwa babu anipe jina
Sawa jana ulinibamba maeneo kule hakuna aibuAhsante Rafiki ,ahsante Sana, hata PM nampotezea ,nazingatia ushauri wako ,nisamehe kwa kuropoka hilo
Hahahaha, kila MTU akafunguka anavyopenda asee ,tukaushe RafikiSawa jana ulinibamba maeneo kule hakuna aibu
Nisemeshe basi sakayo!! Unaondoka kwenda wapi tena...
Nimekuchekesha wapi tena Mama SabrinaLeo umenichekesha sanaa
We bwana waonekana wa juu sana, sifiki huko, silawezi jamani...[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaulizia vumbi stoo?Babu nae anaweza akataka anikague kwanza
Aisee...Ko mie wa chini eeeh
Ila nakupenda tuu
Nisemeshe na roho yangu itafurahi, huenda huko uendako nikakufata...Nitaondoka my Elii79
Ila nitakusemesha usijali kabisaaa, tumetoka mbali ujue