Demiss, toka umeolewa ndio umetutenga marafiki wako?

Demiss, toka umeolewa ndio umetutenga marafiki wako?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Demiss alikuwa mchangiaji mkuu wa habari za mapenzi. Nakumbuka alishawahi kuolewa na GuDume hawakudumu hata week akaachana naye akaja akaolewa na Mshana Jr ndo hapo akapotea kabisa humu.

Hatujui kama yupo hai au alipatwa na kitu. Maana nmekaa tu nikamkumbuka hapatikani. Ila nina ujumbe wake plz tuwasiliane.

Na wanaume wa JF mkioa wanawake wa humu si vizuri kuwapiga marufuku kutumia JF au kuwataka wabadili IDs kama wasingekuwa humu mngewapata wapi? Na kama wangekatazwa hivyo ninyi mngewafagamia wapi?

@demiss please nitafute muda huu ni muhimu
 
I agree [emoji3][emoji3][emoji3]
giphy.gif
 
Wahubani @demiss ndugu yangu anakutafuta huku hata mimi nakutafuta pia.

Tumia hata i'd nyingine mwandiko wako nitaweza kuutambua.

Nakusalimia popote ulipo.
 
Back
Top Bottom