Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
PJ wewe mwendo wa NYAKUA umeujilia wapi?Suruali za kibongo mshonaji anabana kitambaa ili aponee hapo...kwa mwendo huo wa NYAKUA si sehemu nyeti zote zitakuwa hadharani baada ya suruwale kutatuka hadi makalioni!