ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Kuanzia utawala wa George Bush Snr hadi utawala wa sasa, takwimu zinaonesha kwamba Democrat wametengeneza ajira nyingi kuliko Republican
Utawala wa Bill Clinton ulitengeneza ajira 23 million, Biden akiwa nafasi ya pili.
Donald Trump hizo takwimu hazimbebi.
Democrat wana nafasi kubwa ya kushinda kiti cha uraisi maana takwimu zinawabeba