DEMOCRAT WAMETENGENEZA AJIRA NYINGI KULIKO REPUBLICAN

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533


Kuanzia utawala wa George Bush Snr hadi utawala wa sasa, takwimu zinaonesha kwamba Democrat wametengeneza ajira nyingi kuliko Republican

Utawala wa Bill Clinton ulitengeneza ajira 23 million, Biden akiwa nafasi ya pili.

Donald Trump hizo takwimu hazimbebi.

Democrat wana nafasi kubwa ya kushinda kiti cha uraisi maana takwimu zinawabeba
 
Yanaendaga kukopa mabilion kujenga barabara na maji halafu akina Lucas, tlatlahtlahhh na choice yanakata mauno na kujiona wajaanjaa
Hahaha huwa yanakwambia hatutaki waingilie siasa zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…