Haya sasa Wazungu wenu wameanza kuongea, kwa mujibu wa Muzungus Amnesty international, Askari wa Kenya wameua zaidi ya raia 30 wasio na hatia, kazi kwenu anzeni kufunga mkanda kabisa for a rough ride, Uhuru Kenya jiandae kumkabidhi Mfalme wa Jaluo nchi Raila Odinga na wewe kupelekwa kufungwa kwa Muzungu Hague, nilikuonya haukusikia!
Mkuu Barbarosa The Hague watu huwa hawapelekwi-pelekwe tu.
Ingekuwa ni hivyo wewe unavyotaka basi Raisi Mkapa, Raisi Kikwete na huyu aliyepo Madarakani wangekuwa wafungwa tayari. Hebu wacheni hizi mambo za kufurahia machafuko kwa jirani zetu; siyo jambo jema.