DPRK kwa ufupi ni Korea Kasikazini. Kiongozi wake Kim Jong Il amemtaja mtoto wake wa kiume wa tatu (third son) kuwa mrithi wake; jina halikutajwa.
Ni nini tafauti ya UKOMONISTI na UFALME maana wote wanarithisha watoto wao. Angalia CUBA.
Hivi neno DEMOCRASIA lina maana tofautitofauti kulingana na jamii?