Democrats wafanikiwa kutetea udhibiti wa Bunge la Seneti

Kibongobongo Chadema wanashangilia
Wewe lazima ulete tu akili za kitoto. Huko hatujasikia mawakala wamefukuzwa kutoka kwenye vituo vya kupigia kura wala hatujasikia mapolisi wakikimbia ovyo na masanduku ya kura wala hatujasikia wagombea wa chama chochote cha upinzani wakienguliwa kwa amri ya rais moja feki wala hatujasikia mgombea yeyote wa chama cha upinzani kutekwa.

Ccm ndio shetani 😈 wa Tanzania. Bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…