Demokrasia East Afrika Ndio Wasiwasi Mkubwa EAST AFRICA COMMUNITY Kufanikiwa?

Demokrasia East Afrika Ndio Wasiwasi Mkubwa EAST AFRICA COMMUNITY Kufanikiwa?

niweze

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
1,008
Reaction score
118
Vongozi Wote wa East Africa Ndio Tatizo na Vikwazo kwa Malengo ya East Africa Community.

103-dsc_0777.jpg


Demokrasia Ndani ya Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi, na Rwanda Itatoa Direction na Mafanikio ya EAC. Wananchi Tunajua Kuna Uwezekano wa Mafanikio Lakini Kwa Sasa Wananchi Hatuoni Mafanikio Ila Mafisadi Hasa Wahindi Walio Lobby Kupata Hii Business Environment. Ukweli ni Kwamba "Political Stability" Go Hand in Hand With True Development of the People.
 
Back
Top Bottom