Pascal Mayalla zitto junior . Nawapa topic hapa wataalamu sasa chukueni haya mkayafanyie kazi na kuandika kwa upana zaidi.Dunia ya leo inatawaliwa na vitu vikuu vitatu tu
1. Technologia: Viwanda, mawasiliano, usalama hivi vyote vitatu ni mihimu sana . Vyote vitatu vina ongozwa na mataifa ya demokrasia. Kuanzia software za kazini kama microsoft, mitandao, App za kila aina, kutuma pesa kila kitu ni technologia ambayo hatuna. Hatuna mbinu zaidi ya kufuata mkumbo ili tupate maendeleo
2. Mfumo wa mabank: Mfumo mzima wa bank unatawaliwa na mtaji na dollar ambazo ni mfumo unao tawaliwa na Marekani ambaye anaamini kwenye demokrasia
3. Idadi ya watu wengi 70% ya Watanzania ni vijana chini ya miaka 30. Hawa vijana wanahitaji technologia na mfumo wa bank mzuri ili wapate kazi na waweze kujiendeleza. Sasa kwa kujiuliza hiyo mifumo inaendeshwa na nani?
sasa gentleman,Dunia ya leo inatawaliwa na vitu vikuu vitatu tu

sasa gentleman,
unaposema mfumo wa mabenki unatawaliwa na dollar ya Marekani, na hiyo Marekani ina amini kwenye Demokrasia, unamuuliza nani sasa kwamba mifumo ya teknilojia na mawasiliono inaendeshwa na nani?
anae tawala hiyo mifumo unamtaja, halafu unauliza anayoiendesha, surely?
hebu weka hoja yako vizuri,
huenda una kitu cha maana sana kwenye fikra zako, lakini hapa ulivyoandika nadhani bado kuna vitu muhimu sana hujavimalizia kuviandika π
gentleman,Wajinga jinga machawa kama wewe huwezi kunielewa. Nilisema hapa kutatokea fujo Oct 29 ulikuwa wa kwanza kukebehi na kuona ni uzushi sasa unaona yanayo tokea. Badala ya kupinga na kupiga mandongo kila kitu ingewasaidia sana kama mngekuwa mnachukuwa muda kutuelewa watu ambao hatuna vyama lakini tunapenda nchi na maendeleo. Mwenendo wa sasa wa nchi sio mzuri na uwe CCM chawa au Chadema wote ni meli moja tunaenda chini pamoja. Mama samia hayupo kwenye hiyo meli yeye yupo kwenye helikopter yake mkizama ni Watanzania wa kawaida na machawa. Hivyo jitafakari usifanye kazi na mtoto
gentleman,
huna haja ya kupanic na kumbwelambwela mambo useless,
malizia mawazo muhimu ambayo yanakosekana kwenye hoja ya msingi, huna haya ya kuweweseka na nonsense nyingine tofauti na hoja yako mwenyewe π
sasa gentleman,Ni uelewa mdogo wako tu hapo. Ujumbe hapo ni kwamba huwezi kushindana na USA nchi kama Tanzania tukashinda kwa nyakati hizi kwasababu ya hayo mambo makuu matatu. Hivyo tuache kujibizana na maseneta wa Marekani maana mtaongeza machungu kwa watanzania . Kukebehi Marekani ni ujinga wa wanasiasa . Badala yake tujirudi na kuweka demokrasia , katiba nzuri na kurekebisha mambo.
Machawa kusema Marekani inatuonea wivu kwa lipi?