Demokrasia inayoongelewa nchi hiyo labda ipewe jina lingine

Ejolisi

Member
Joined
Aug 26, 2022
Posts
57
Reaction score
87
Kwa drama zinazoendelea kwenye mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa zinaonesha kwa jinsi gani tuna matatizo.

Ka uchaguzi haka kadogo drama za kijinga zinainuka ambazo hazina maana.

Demokrasia nchi hii ime base kwenye kuhamasisha watu kupiga tu "kupiga kura ni haki yako"

Watu wengi hawana idea au uelewa wa kutosha kwenye maswala ya UTAWALA NA UONGOZI ndio maana kipindi cha uchaguzi wakipelekewa matarumbeta, vitisheti na unga wanachagua watu wa ajabu.

Me naona uchaguzi wa viongozi wa nchi hii asilimia zitoke kwa wananchi na asilimia nyingine ZITOKE KWA WATU TIMAMU WANAOJUA HII INATAKA NINI MIAKA 20 MPAKA 50 ijayo.

Sioni kama kura za wananchi zinatosha kutoa kiongozi bora, wengine wana njaa wanaongwa chakula tu wanatoa kura zao ukiachana na zinazoibiwa.

Kuwe na kura kutoka kwa watu ambao hawajafungama na chama chochote, wenye uwezo wa kuangalia na kupima taifa linaelekea wapi na linataka nini.

Mbali na hapo hii demokrasia inayoongelewa kwenye nchi zinazoendelea ni upuuzi na watu wenye akili timamu hawashiriki wanafata mambo yao
 
ni muhimu sana wananchi kuzingatia sifa na vigezo stahiki vya kisheria na kikatiba wanaposhiriki chaguzi kwenye maeneo na nchi zao. huo ndio ustaarabu, chachu ya amani na maendeleo :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom