Tman Clever
Member
- Dec 20, 2012
- 39
- 29
Demokrasia kungojea uchumi ni kosa la karne kutamkwa na kinywa cha mheshimiwa Mama. Ni mshituko mkubwa kwa wapenda demokrasia mchini na Duniani kote.
Kwa muonekano wa sura iliyojawa na busara Tele ya mama yetu kipenzi, hakuna aliyetarajia kusikia alololitamka juu ya Katiba na mikutano ya hadhara ya kisiasa (Demokrasia).
Ni mengi Mazuri kayatenda ndani ya muda mfupi saana, kazungumza mengi Mazuri. Ila Kuna mshauri mmoja mbaya kamuingiza chaka mama.
Anahitaji kubadilisha watu wengi sana kwenye system.