Tman Clever
Member
- Dec 20, 2012
- 39
- 29
Duh!Tulia dawa iwaingie kwanza, pasipo uchumi akuna democrasia,hata huko Ulaya wenye democrasia yao walijenga uchumi wao kwanza ndipo wakapanga jinsi ya kugawanya hiyo keki ya taifa, nyinyi mnataka democrasia pasipo uchumi mzuri ili mlete machafuko tu,.
Wewe ndio kilaza unayepelekeshwa na wanasiasa, Nchi kama China,urusi,mataifa yote ya kiarabu yamepiga atu kubwa pasipo democlasia hiyo unayoitaka, Democlasia ni kichaka cha wanasiasa wazembe wanaotaka kula bila jasho.Kenya wanayo Katiba mpya imeisha wasaidia nini?kama sio ufisadi mtupu na sasahivi wako wanataka kubadilisha vipengele,ili waendelee kugawana vyeo.Africa atuitaji Katiba tunaita strong man kama akina Gadaf, Magufuri,watu wenye maono, democlasia inachelewasha maendeleo.Duh!
Kweli hili taifa Lina vilaza wengi.
Pro M. Assad Hakika alikuwa sahihi.
Yaani tuwe under dictatorship ndio uchumi upande?
Tuendelee na Katiba, sheria na Sera mbovu ndipo uchumi upande?
Hapana, watu wa nchi hii Kuna mahala tulimkosea Mungu, si kwa akili mbovu hizi