Pre GE2025 Demokrasia ndani ya vyama pinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Zito mnafiki
Zito ahaminiki
Zito kibaraka
Zito ana ndimi mbili
Zito ni mbinafsi
Hoja ya kuwa anafundisha kwa vitendo nataka kigoma town asigombee amwachie mwingine
Mwisho ni vibaraka wa zito hatutakubali mtufundishe nani atuongoze kwenye mapqmbano
Mbinafsi ni yule aliyeachia uongozi kwa hiari au yule anayeng'ang'ania uongozi kwa miaka 20
 
Usaliti wa Zitto ni upi na Uwana upinzani wa Mbowe ni upi?
Nadhani Zitto ni Sunday jema la upinzani kuliko Mbowe, Mbowe ni Sunday jema la Ccm kuliko Zitto
Umri wako tafadhari.
 
Stupid, stop nonsense, Chawa we shetani. Haondoki mtu hapa mpaka nchi hii imekombolewa. Huwezi kubadiri makamanda katikati ya vita
 
Stupid, stop nonsense, Chawa we shetani. Haondoki mtu hapa mpaka nchi hii imekombolewa. Huwezi kubadiri makamanda katikati ya vita
Kwamba Lissu, Heche, Lema, Sugu hawawezi kuongoza vita? Wanachama million plus hakuna mtu anaweza kiongoza Chadema zaidi ya Mbowe? You must be joking kamanda
 
Kwamba Lissu, Heche, Lema, Sugu hawawezi kuongoza vita? Wanachama million plus hakuna mtu anaweza kiongoza Chadema zaidi ya Mbowe? You must be joking kamanda
Chadema imejengwa kwenye misingi
 
Kwamba Lissu, Heche, Lema, Sugu hawawezi kuongoza vita? Wanachama million plus hakuna mtu anaweza kiongoza Chadema zaidi ya Mbowe? You must be joking kamanda
wanaweza sana lakini hatuna haraka......as long as umagufuli bado upo, Mbowe is here to stay
 
Kwahio baada ya Zitto alikosekana mwingine wa kuandaliwa?

Hebu tusaidie mfano uchaguzi w mwisho aligombea n nani?
Kama hujui nani aligombea ina maana hayakuhusu,na unataka kujua ili iweje.
 
Tuleteeni katiba tuache ujinga jinga wa uchawa. Yaani hawa machawa badala ya kuweka uzalendo na kufikiria tupate katiba wanashinda kulalama kwa vyama kila siku🤔
 
Hivi mnataka Mbowe atoke ili mfanye nini? Nawaambia mtatamani Mbowe arudi siku chama kikishikwa na Lissu au Heche.
 
Tuleteeni katiba tuache ujinga jinga wa uchawa. Yaani hawa machawa badala ya kuweka uzalendo na kufikiria tupate katiba wanashinda kulalama kwa vyama kila siku[emoji848]
Nchi inatafunwa na mchwa CCM wao wanatumikishwa kindezi kwa kulipwa bk7. ATCL kila mwaka inapata hasara ya mabilioni lakini wanazidi kununua midege ambayo inakwenda kuongeza hasara wakati Kenya Airways wanatengeneza mabilioni ya faida. Vijana badala ya kuhuoji ufisadi unaoibuliwa na report ya CAG kila mwaka wahusika wanawajiishwa vipi wako bize kuhoji Chadema kuendelea kumchagua Mbowe kuwa mwenyekiti wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…