Demokrasia Tanzania yazidi kukita mzizi, Kenya tupate funzo gani hapa?

Demokrasia Tanzania yazidi kukita mzizi, Kenya tupate funzo gani hapa?

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
HAPA KAZI TU, ASILIMIA MIA BIN MIA....!!!!!

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: CCM YASHINDA KWA ASILIMIA 99.9 - Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza kuwa CCM imeshinda Vijiji 12,260 sawa na 99.9% - Pia, kimeshinda Mitaa 4,263 sawa na 100% na kikishinda Vitongoji 63,970 sawa na 99.4%

Soma


tamisemi au chemichemi😉

EKOamn5XsAMg7C0.jpg
 
Back
Top Bottom