Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Hakuna watu waoga kama watanzania, periodYaani ni vituko vitupu. Mabomu ya machozi nje nje. Wanakera.
Minyang'au sasa imebaki kusema eti hakuna watu waoga kama watanzania. Hii covid 19 imeyavuruga kweli kweli hata hayajui yaanzie wapi kujirudi.Hakuna watu waoga kama watanzania, period
[emoji23]Yaani ni vituko vitupu. Mabomu ya machozi nje nje. Wanakera.
Nyang'au wanajifariji na vijiramani vya kuokoteza mtandaoni.