Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
waungwana nimefanikiwa kuwa member lakini tatizo ni kwamba sielewi jinsi ya kudownload nimejalibu kugonga sehem ya down load wapi inakataa nifundishe jamani ntatumiaje hiyo torrent
Mkuu unafahamu maana ya neno "Torrent"?
kwa wale wanaofahamu uwepo wa demonoid.com mtakuwa mnafahamu ni jinsi gani hawa jamaa wamejizatiti katika kushare-files.
demonoid ni semi-public tracker with closed registration mode of membership.you have to be invited to get in there.
it has one of the best collection of books,Mp3,movies and softwares available for free on the internet.all you need is the internet and a bit-torrent app.
- be able to share after finishing downloading-seeding.
be friendly and respect other members,profanity is strongly prohibited in that scene.
shusha as many materials as you can to share with others here in JF.kwa link nenda www.demonoid.com
samahani Mkuu nimeishiwa Registration code nilipewa tano tu nazo zimeisha umeshelewa,ila usijali kesho nitakutumia.[*]
[/LIST]Registrations areclosed. If you have an invitation code, click here Username: Password: lost pass?
nimeshindwa kuendelea naona nimechelewa au kama kuna njia nyingine naomba muungwana yeyote anisaidie.
[*]
[/LIST]
Registrations areclosed. If you have an invitation code, click here Username: Password: lost pass?
nimeshindwa kuendelea naona nimechelewa au kama kuna njia nyingine naomba muungwana yeyote anisaidie.