Ni kawaida mkuu, kwanini sio kawaida? yaani kuna kitu gani kinachofanya hilo tukio liwe la hatari lisilo la kawaida?To his case lazima azipe uzito, bearing in mind yule manzi alimtreat vizuri na kumpa kile anataka. Ili aweze ku move on lazima ajue na afikie emotional maturity. Sio kawaida Kwa anachopitia now
Mkuu hapo jamaa atakuwa traumatized. Lazima ataona kama kfanyiwa emotional abuse. Japokuwa yule manzi hana kosa.Ni kawaida mkuu, kwanini sio kawaida? yaani kuna kitu gani kinachofanya hilo tukio liwe la hatari lisilo la kawaida?
Sasa uneshindwa kumtoa bikira unaishia kugonga mashavu unadhani anagebaki na wewe kwa lipi wakati anaona huna unachoweza mdogo wangu ?Habari, ipo hivi kuna demu tangu mwaka jana mwezi wa nane nilikua namfukuzia tukaanza mahusiano japo kwenye tendo hataki maana ameshika dini na ni bikra , mwaka huu kuna kipindi alisema hataki mahusiano kwa sasa au mpaka niongee na wazazi wake ndio atanikubali , baada ya masiku kupita akampa namba jamaa anionye eti anasema ni ndugu yake , ila kuja kugundua ni jamaa alikua na yeye anamfukuzia , , mwaka huu mara tatu nimelala nae usiku kila nikitaka kuitoa bikra nashindwa siku moja nikaona anachati na mwanaume mwingine (ambae ni yule alikua anamfukuzia) nikamuuliza akalia na kuomba msamaha , kesho yake nikalala nae tena ila sikufanikisha , baada ya siku kama tatu nililala nae akakataa nisimguse akasema hanipendi nisimlqzimishe kwenye maisha yake , siku ya jana tumegombana na kuachana japo demu alikua bado bikra ila alisema anaenda usiku kwa yule jamaa kumpa.
Eti wadau kosa langu ni lipi hapo? Demu nilimhudumia kila kitu na mpaka kumtafuta kwenye simu mimi ndio nilikua namtafuta sanaa kuliko hata yeye. Hapa nimekaa roho inaniuma.
Kwanini unasema manzi hana kosaMkuu hapo jamaa atakuwa traumatized. Lazima ataona kama kfanyiwa emotional abuse. Japokuwa yule manzi hana kosa.
Hujawahi kuumiza kwani? Au kupata loss ya kufiwa, kutengwa? Au kudanganywa na watu wa karibu?
Habari kijana mwenzangu mwana Afrika mashariki,Habari, ipo hivi kuna demu tangu mwaka jana mwezi wa nane nilikua namfukuzia tukaanza mahusiano japo kwenye tendo hataki maana ameshika dini na ni bikra , mwaka huu kuna kipindi alisema hataki mahusiano kwa sasa au mpaka niongee na wazazi wake ndio atanikubali , baada ya masiku kupita akampa namba jamaa anionye eti anasema ni ndugu yake , ila kuja kugundua ni jamaa alikua na yeye anamfukuzia , , mwaka huu mara tatu nimelala nae usiku kila nikitaka kuitoa bikra nashindwa siku moja nikaona anachati na mwanaume mwingine (ambae ni yule alikua anamfukuzia) nikamuuliza akalia na kuomba msamaha , kesho yake nikalala nae tena ila sikufanikisha , baada ya siku kama tatu nililala nae akakataa nisimguse akasema hanipendi nisimlqzimishe kwenye maisha yake , siku ya jana tumegombana na kuachana japo demu alikua bado bikra ila alisema anaenda usiku kwa yule jamaa kumpa.
Eti wadau kosa langu ni lipi hapo? Demu nilimhudumia kila kitu na mpaka kumtafuta kwenye simu mimi ndio nilikua namtafuta sanaa kuliko hata yeye. Hapa nimekaa roho inaniuma.
Hisia za kuachwa si jambo la ajabu, ajabu inatengenezwa na ubongo tu ila haikuwepo kabla.Mkuu hapo jamaa atakuwa traumatized. Lazima ataona kama kfanyiwa emotional abuse. Japokuwa yule manzi hana kosa.
Hujawahi kuumiza kwani? Au kupata loss ya kufiwa, kutengwa? Au kudanganywa na watu wa karibu?
Omba yasikukuteSijui kwa nini mada za kipumbavu hua zina comment nyingi hv, imagine kuna page 8 🗑️
Huu Upuuzi hauwezi kunikutaOmba yasikukute
Jamaa namuona kama ni mjinga mwanamke unmfuatilia kama mama yako mzaz wakati mademu wapo kibaoHivi huyo demu, yuko pekee humu nchini? Wewe geuka na uwe sukari ya walembo, atakufuata mwenyewe, mradi tu usisahau kinga, vinginevyo ngono zembe na madhara yake iko pembeni...
Nilishindwa kumtoa bikra pengine ndio sababu kaniachaUnalala naye usiku mzima na hakujafanikiwa shida ilianzia hapo kuna jambo halipo sawa
Zinaa haifai mkuu just move on tafuta mwanamke na uoeNilishindwa kumtoa bikra pengine ndio sababu kaniacha
Ila ni kweli hiyo inaweza kuwa sababu ya kuniacha ?Zinaa haifai mkuu just move on tafuta mwanamke na uoe
Hapana sina namna tena alishalala na jamaa mwingineKamsemee kwa babaake
Sawa mkuu, itakuwa ngumu kunielewa.Hisia za kuachwa si jambo la ajabu, ajabu inatengenezwa na ubongo tu ila haikuwepo kabla.
Haya ya kufiwa hayafanani. Sasa mtu kaachwa na kadem kake utalinganisha na mtu kampoteza mama, mtoto, ndugu au rafiki kwa kifo?
Kudanganywa hakuna ajabu yoyote, unasikitika kwa kutingisha kichwa unaendelea na mambo mengine.
Kwan mademu zako wngn uliopiga uliwatoa bikra?Hapana sina namna tena alishalala na jamaa mwingine