Demu huyu!!

sasa guest alifuata nini?? Au kuna kitu alisahau huko?? Ungemchapa vibao ukamalizia na mtama wa nguvu then unaishia zako...mwehu kabisa huyo...
 
Mi nna uhakika guest mliyoenda haina hadhi ndo maana alichomoa....ungempeleka hotel ya ukweli hata kutongoza kulikuwa hakuna haja!!
 
Demu alijifanya tu ili umbake alete kesi .Au siasa kali nini? next time watch out those types. Pengine alitaka chake mapema akaona hamna dalili . Teh teh
 
Mi nna uhakika guest mliyoenda haina hadhi ndo maana alichomoa....ungempeleka hotel ya ukweli hata kutongoza kulikuwa hakuna haja!!
Landmark
 
sasa guest alifuata nini?? Au kuna kitu alisahau huko?? Ungemchapa vibao ukamalizia na mtama wa nguvu then unaishia zako...mwehu kabisa huyo...
Nilihudhika sana ila niliogopa Ananilelia nkya na timu yake+tamwa
 
Bro Kiiza na kwenda kote Landmark bado ukatolewa nje???pole mwaya. kwa iyo bei ya chumba ikapotea hivi hivi na nguvu zako zote za kumsomesha somo pia zikaenda hivi hivi.....
 
[/B]<br />
KakaKiiza alikuambia hayo maneno niliyobold? huyo demu alitaka kuona msimamo je unaweza kumvumilia? au ilikuwa ni basi tu wataka kumvua?<br />
<b> <br />
<br />
</b>
Nikimconvince kwa manenoyote niliyojaliwa na mungu mwisho nikaonaisiwetabu wanawake hawa wasomi wanajifanya wanaharakati mhn!!nikaona hiyo35sikitu bora nibaki na ustaarabu wangu kuliko kujifanya mjuaji ukabaki nz fedhea
 
Nani anayekuona fara?
 
Sijakata tamaa mimi nimejifanya mjinga atarudia then sikuhiyo akijaa na maliza mchezo kuliko karibu nijifanye nimekosea.
 
Nikimconvince kwa manenoyote niliyojaliwa na mungu mwisho nikaonaisiwetabu wanawake hawa wasomi wanajifanya wanaharakati mhn!!nikaona hiyo35sikitu bora nibaki na ustaarabu wangu kuliko kujifanya mjuaji ukabaki nz fedhea

u mtu mwema
umejaa busara
 
Kila akiiangalia hii sura,stimu zote zilikata..nextime piga maskrabu kidogo
 
Sura ya mwanamume hii unadhani mimi bongoflava mpaka nikajirembe saloon??kwetu mwiko!
 
huyo aliingia guest kufanya nini au ulimwambia unaishi hapo?
yawezekana alikuwa tayari ila akapima kimo akaona sio saizi yake .kuliko kukimbia bila ile nguo ya ndani,ilibidi ajihami mapema.
endelea kumfuluzia akichomoa ujue vipimo vilichukua nafasi
hahahahaha i like z comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…