Mwambie kabla hajamwita geto aende pale keko akawatembelee wafungwa aone life likoje then arudi geto ampe mambo huyo mdada kwa nguvu....ataona km KEKO au Segerea kuna JF.....HahaahhahaaaaKwa hyo unataka kumbaka sio?
nkishawekwa keko, ntaombaje ushauri? kama mzee we2 wa benki ndogo kakamatwa na cm ikawa noma!
4 what, nawe unabanaga kiivyo nn!
Huwa sikubaliani nawe ila kwaCrap
Crap x 2
Crap x 20
pandisha kwanza suruali maana karibu inaanguka.
Afu huo mkono unaourusha rusha kama unaimba utulize maana wengine ni wazee humu.
Afu vaa shati hako ka singlend kachafu, bora uve shati.
Huto tu nyama twa kifua chako hatutoshi hata sambuza 2.
ha ha ha acha dharau men, nweza nkawa fiti kimapato zaidi yako!