Problem is, Childish! Is just a minor silly ! Worthless material so far !
But "utaacha ukikua".
2po pamoko men!
ha ha ha! plz salio lako halitosheleze, jipange upya men!
ok, unataka nitafute mashori nikiwa kibogoyo!! ha ha ha ha! worthles material bt u a still reading! hapo yupi hamnazo? aliyeandika topic au aliyesoma!? ndo maana nawaambia hazipo kabisa!
ungeipotezea kama vp! kwani thread zote lazima usome! a u jf chief editor! ha ha ha! network z loading!
Afadhali umekuja tuchakachue hii kitu.
Kiporo cha pilau kilikuaje?
We bibi kidude nn?
Afadhali umekuja tuchakachue hii kitu.
Kiporo cha pilau kilikuaje?
ok mpo sahihi kabisa, mtumie majina yenu matatu mliyopewa na wazazi wenu kama mfanyavyo kule facebook! mnajua kabisa hapa ni mashudu tupu! nani aandike jina wakati topic aliyoandika -nmefumaniwa masela-?? au demu wa mshkaji ni noma masela??
Umewahi kunisemea ! Tuondoleeni hivi VIAZI hata huko kwenye Siasa mimi mbona sivionagi viazi sampuli hii ! Unashindwa kujua Mbatata au vikuu!
nimekipig asubuhi na chai ya mgando
ilikuwa tamu sana
Ukichanganyikiwa jaribu kutuliza akili badala ya kuendelea kucharuka.ok mpo sahihi kabisa, mtumie majina yenu matatu mliyopewa na wazazi wenu kama mfanyavyo kule facebook! mnajua kabisa hapa ni mashudu tupu! nani aandike jina wakati topic aliyoandika -nmefumaniwa masela-?? au demu wa mshkaji ni noma masela??