Demu kanibania malove-davi!

Unavyotiririsha nikajikuta nataka nikufungue kichwa niangalie "memory card" yako kama imekaa upande hivi!

kweli baba, ndo maana unachangia mmu na xio siasa,edu,dr etc! memory card haipo kabisa, bora ingekua upande ningerekebisha!
 
Huna haya, nenda kempsky kuna wadada wakal one night stand afu ondoka, shda yako si penz, afu toka kwa manz mkal, afu si unaela..achana na dada wa wa2, kawafate wanaotaka kumegwa..ni hayo 2..(play safe)

nipe gwara men! 5 plz!!
 
ndoa kawafungisha nani hadi unapanga mambo yangono?
 
shudu utalijua tu!

Dogo (uso wa bidhaa za vingunguti) si ujisongeshe mdogo'mdogo kwenye majukwaa uliojinakshi kwayo? Hapa umetuletea biashara VIAZI haviuziki ! Vimekukamata! Wanunuzi hakuna! Utatuuzia kwa bunduki ? Labda! Uza kwa kupanga chini mafungu! Jumlajumla vinakuozea!
 
Masela msijenge chuki huu ni wangu mtizamo!
 
Pumba a.k.a shudu once again!
 
kweli baba, ndo maana unachangia mmu na xio siasa,edu,dr etc! memory card haipo kabisa, bora ingekua upande ningerekebisha!

Haikurekebika asubuhi ! Mchana kweeupe, bado Ng'ombe wanakula majani? Itarekebika usiku Ng'ombe washatoka machungani ? Pindipo na mwezi uko gizani? Kumbe macho ya Nazi ma 3 yana faida gani?
 
ninyi ndo mnaongeza gharama serikalini za madawa ya "ARV" Hadi wanafunzi wanakosa mikopo vyuoni.

Toka wameanza kunishauri, we ndo atleast kama ni marks umevuka boda!
 
Haikurekebika asubuhi ! Mchana kweeupe, bado Ng'ombe wanakula majani? Itarekebika usiku Ng'ombe washatoka machungani ? Pindipo na mwezi uko gizani? Kumbe macho ya Nazi ma 3 yana faida gani?

kishwahili nacho shida! hamna memory card kabisa!
 
Pumba a.k.a shudu once again!

Kweli! Kichwani salio arijojo! PUMBA we umeona tusi ? Pumba mie mfugaji Pumba Mali kwangu! Ng'ombe wangu wanakulaje pumba? Sasa unajua maana ya VIAZI ? Upewe ?
 
Acha kulazimisha nikushushe daraja zaidi basi. . . jipe mapumziko ya muda.

ukweli unauma! mada zenyewe -umegonga wangapi 2011??-
 
Kweli! Kichwani salio arijojo! PUMBA we umeona tusi ? Pumba mie mfugaji Pumba Mali kwangu! Ng'ombe wangu wanakulaje pumba? Sasa unajua maana ya VIAZI ? Upewe ?

sihitaji maana najua litakua na maana sawa na maada za mmu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…