Demu kauloga uume wangu. Msaada waungwana!!

Kaveli

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
5,443
Reaction score
8,903
Mini ni mwanaume, miaka 26, naishi Dar.
Nilikuwa na mdada mmoja ivi kimapenzi. Tulidumu kama miezi 6 ivi kwenye mahusiano yetu, na tulikuwa tunasex karibia kila siku. Kwa kweli kitandani nilikuwa fit to the maximum, yani kitu kilikuwa imara kama dume la simba! Baadae mimi nikaamua tuachane kwa sababu ya tabia zake mbaya fulani fulani ambazo zilinishinda kabisa, na sikutaka kumpotezea muda wake. Mimi nilishikilia msimamo wangu wa KUACHANA NAE, lakini yeye hakukubali kabisa tuachane, na mpaka akawa analia machozi. Alitaka sana kuzaa na mimi (nimtie mimba).

Siku ya mwisho kuongea nae ana kwa ana, nakumbuka alinitamkia maneno haya: ''WEWE SI UNAJIFANYA MJANJA, HAYA UTAONA. LAZIMA UTANITAFUTA TU, UTARUDI NA UTAZAA NA MIMI.'' mimi maneno hayo niliyapuuzia na kusepa zangu. Iyo ilikuwa mwaka jana 2012 February.

Then nilikaa miezi miwili bila kuwa na mwanamke wala kusex, ila nilikuwa nafanya SEX CHATTING sana kwenye mitandao (nadhani mnaelewa). Muda si mrefu nikawa nimepata msichana mwingine kimapenzi, jamani kuanzia apo ndo tatizo langu likaanza. Yaani wakati wa romance uume unasimama, ila nikianza tu kuvaa kondom uume ulala kabsa. Wakati mwingne naforce kuvaa kondom ivyo ivyo ikiwa imelegea ila nikigusa tu uke nakojoa apo apo fasta wakati nahangaika kuingiza. Nakumbuka siku iyo nilikojoa bao 5 (zote juu juu tu bila ya kuingiza uume ndani)!! Yani tukifanya romance kitu kinasimama. Nikishika kondom nivae, kitu kinalegea ghafula. Na nikijaribu kuingiza ivyo ivyo ikiwa imelegea + condom, ile kugusa tu najikuta nimekojoa!

Kuanzia apo kila msichana ninaempata ananiacha. Yani siku izi hamu ya kufanya mapenzi imeshuka kabisa nikilinganisha na nilivyokuwa zamani, na ninapopata nyege uume unasimama kwa ulegevu (haukazi sawa sawa). Mfano ile asubuhi ninapoamka, uume unasimama kwa ulegevu, haukazi kama zamani. Zamani mim nikiingia na demu ndani, nikiwa nafunga mlango tu tayari kitu kishasimama dede, na nikishaona paja lake tu kitu mnara kama chuma ata kabla hajavua nguo. LAKINI SIKU HIZI maskini mie naingia chumbani na demu, demu hadi anavua nguo zote anabaki uchi lakini mim bado uume umelala, mpaka anishike ndo naanza kupata msisimko. can u imagine jamani!!! Mimi ni mtu wa mazoezi sana, na lishe/mlo nazingatia, lakini sijaona mabadiliko mpaka dakika hii. Nimekula kula baadhi ya dawa za kienyeji lakini wapi sijapata nafuu yoyote!

Je, INAWEZEKANA HUYO MDADA ALINIFANYIA MAMBO YA KISHIRIKINA NILIPOMUACHA ILI KUNIKOMOA??? maana nasikia mambo yapo na yanafanyika. JE TIBA IPO YA TATIZO KAMA HILI? Au mimi ndo basi tena kwishney? Natamani mno hali yangu ya awali irudi.

Wanajamii wenzagu, kwa yeyote mwenye idea au experience juu ya tatizo kama hili, jamani naombeni sana ushauri wenu. Mwanaume naaibika sana jaman. Wanawake wananikimbia, kila ninaempata ananiacha solemba. Sasa naogopa sana kutongoza mademu, maana kila ninaempata naishia kuumbuka tu jamani. Now nipo mpweke kama mti jangwani! Sina raha, tatizo hili linaninyima amani na furaha myoni. dah inauma sana jamani.

Mnisamehe kwa kuwachosha kwa barua hii ndefu.
Natanguliza shukrani, na Mungu awabariki wanajamii-forum wote.
 
Pole sana hebu jaribu kujifanya kama unamrudia yule demu tena kisha mwite mpaka chumbani uone kama hali hiyo itakuwepo. Kama ukiona unado naye kama kawaida basi elewa kuna namna hapo. Mbane kimtindo akijulishe siri ya urembo vinginevyo umekwisha mazee,
 
Pole kuna uwezekano umeathirika kisaikolojia. Nina wasiwasi demu wakwanza alikuwa mrembo na mwenye figure la kike na ladha murua (wanaume wenye experience watakuambia). Sasa inawezekana unapata wanawake ambao hawajamkaribia hata robo. Ndugu yangu hata uipige pige haita-stand. Na kwamba una... juu ya k mb ikiwa slake ni uongowa kutuzuga. kuwa mkweli na mimi hunitokea kama unachenji kota.
 

mkuu ahsante kwa ushauri, nitaufanyia kazi.
 
Mimi siwezi kukupa pole kwasababu maelezo tu yanaonyesha wewe ni player...kwanini uchezee watoto wa watu kiasi hicho..yn baada tu ya kuachana na huyo demu umeshaweka msururu wa videm vingine na si kuwa eti tabia zake mbaya..mm siamini hilo coz kila mwanaume akiachana na demu kisingizio eti mwanamke ana tabia mbaya ilhali wewe ni mzinzi kupindukia....acha ni dhambi kwa mola ht km damu inachemka., si kuheart break watu...na huyo ulimuonja ukamchoka coz km kila siku unasex nae..usimkinai..ukaamua umbwage eti tabia mbaya nope...kuna mtu namjua nae tabia ni hizo hizo n iwsh yamkute km yako..UKOME c kila king'aacho ni dhahabu...ss umekutana na chupa imekukata
 

mkuu Mkola, kila nilichonena apo ni ukweli mtupu ndugu yangu. siko hapa kuwazuga wanajamii, nimeeleza ukweli na ninatafuta ufumbuzi wa hiyo changamoto. ahsante kaka kwa angalizo lako kuwa yawezekana nimeathirika kisaikolojia, it might be true japo sina hakika.
 

mkuu Tofali, haina haja ya kujibu kwa jaziba kias icho. au unataka niweke wazi as to WHY nilimuacha? mimi nadhani ingefaa sana kama ungezingatia nini ninachoomba kutoka kwa wanajamii, sijaja humu kupewa lawama na sifa za ajabu eti mimi player. ebu nikuulize kitu kimoja tu rahisi mkuu: KWA HIYO KILA DEREVA ANAEPATA AJALI BARABARANI UNAKUWA NI UZEMBE WAKE? AU KILA ANAEFUNGWA JELA ANA HATIA KWELI? na pia naomba unieleze nini maana halisi ya 'kuwa player'. pia ahsante kwa mchango wako kaka, maana penye mchele huwa hapakosi pumba.
 
kama wewe ni mwanaume siku zote ukitaka kumuacha mwanamke hutakiwi kumwambia neno sikutaki mara liko hursh sana na madhara yake ndio kama hayo achanane kimya kimya tukwa visa na vituko vingi kama kumgonganisha au ajue tu una dem
 
Kilichokuzingua ni sex chating hamna jingne!
sex chatting ndiyo imekuzingua kama alivosema mkuu wangu sasa cha kufanya jamaa kuwa na demu mmoja usifanye sex nae kwa dharura ila extend time kidogo before dating mzoee mvutie hisia ona na utambue na kuuthamini pia uzuri wake na siku ya kusex lala nae hadi asb ila usiforce kudate kama hujaamka time kubwa tumia kuongea nae na ujifane huna papara ya ngono jitoeni mawazo akiaamka ukiridhika piga kidogo bila papara taratibu utagain momentum yako ya awali nini kulogwa bana toa mawazo ya ajabu
 
Du mzee ,hilo bonge la zogo la kiumeni! pole mzee ina maana we kutovuga kwishney? pole sana! hebu fanya hivi chukua demu unayemweza tena fresh changu doa mlipe fresh mwambie ukweli wa hali yako ,halafu fanya nae biashara ya ngono hata kama itachukua wiki nzima nyumbani kwako yaani afanye utundu wake woote we usiwe na papara relax!tyuone kama mzee hajarudi ulingoni!
 
Pole ila ushauri mfuate huyo dada tena maana alisema kama unavyodai

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
sasa hiyo hatua ulofikia ndio nzuri,utaepuka vishawishi,pia utaepuka maambukz ya STI's hasa UKIMWI..TZ BILA UKIMWI INAWEZEKANA.
 
Mi nafikiri umeathirika kisaikolojia na hujiamini,tafuta msichana ambaye atakuelewa hali yako na muende hatua kwa hatua naamini mwishowe utamzoea,wengi huwatokea watu ambao hawajazoea kuvaa kondomu,mara nyingi kile kitendo cha kuvaa kondomu hupunguza hamu na mhogo hulegea.mtafute umpendae ,mkapime na ukifanya tendo bila kondomu mambo yatakuwa kama hapo zamani,hayo maneno ya ex wako ni kukuharibu kisaikolojia tu na hicho ndicho kinachokufanya ushindwe kutenda kama hapo zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…