mini ni mwanaume, miaka 26, naishi dar.
Nilikuwa na mdada mmoja ivi kimapenzi. Tulidumu kama miezi 6 ivi kwenye mahusiano yetu, na tulikuwa tunasex karibia kila siku. Kwa kweli kitandani nilikuwa fit to the maximum, yani kitu kilikuwa imara kama dume la simba! Baadae mimi nikaamua tuachane kwa sababu ya tabia zake mbaya fulani fulani ambazo zilinishinda kabisa, na sikutaka kumpotezea muda wake. Mimi nilishikilia msimamo wangu wa kuachana nae, lakini yeye hakukubali kabisa tuachane, na mpaka akawa analia machozi. Alitaka sana kuzaa na mimi (nimtie mimba).
Siku ya mwisho kuongea nae ana kwa ana, nakumbuka alinitamkia maneno haya: ''wewe si unajifanya mjanja, haya utaona. Lazima utanitafuta tu, utarudi na utazaa na mimi.'' mimi maneno hayo niliyapuuzia na kusepa zangu. Iyo ilikuwa mwaka jana 2012 february.
Then nilikaa miezi miwili bila kuwa na mwanamke wala kusex, ila nilikuwa nafanya sex chatting sana kwenye mitandao (nadhani mnaelewa). Muda si mrefu nikawa nimepata msichana mwingine kimapenzi, jamani kuanzia apo ndo tatizo langu likaanza. Yaani wakati wa romance uume unasimama, ila nikianza tu kuvaa kondom uume ulala kabsa. Wakati mwingne naforce kuvaa kondom ivyo ivyo ikiwa imelegea ila nikigusa tu uke nakojoa apo apo fasta wakati nahangaika kuingiza. Nakumbuka siku iyo nilikojoa bao 5 (zote juu juu tu bila ya kuingiza uume ndani)!! Yani tukifanya romance kitu kinasimama. Nikishika kondom nivae, kitu kinalegea ghafula. Na nikijaribu kuingiza ivyo ivyo ikiwa imelegea + condom, ile kugusa tu najikuta nimekojoa!
Kuanzia apo kila msichana ninaempata ananiacha. Yani siku izi hamu ya kufanya mapenzi imeshuka kabisa nikilinganisha na nilivyokuwa zamani, na ninapopata nyege uume unasimama kwa ulegevu (haukazi sawa sawa). Mfano ile asubuhi ninapoamka, uume unasimama kwa ulegevu, haukazi kama zamani. Zamani mim nikiingia na demu ndani, nikiwa nafunga mlango tu tayari kitu kishasimama dede, na nikishaona paja lake tu kitu mnara kama chuma ata kabla hajavua nguo. Lakini siku hizi maskini mie naingia chumbani na demu, demu hadi anavua nguo zote anabaki uchi lakini mim bado uume umelala, mpaka anishike ndo naanza kupata msisimko. Can u imagine jamani!!! Mimi ni mtu wa mazoezi sana, na lishe/mlo nazingatia, lakini sijaona mabadiliko mpaka dakika hii. nimekula kula baadhi ya dawa za kienyeji lakini wapi sijapata nafuu yoyote!
je, inawezekana huyo mdada alinifanyia mambo ya kishirikina nilipomuacha ili kunikomoa??? Maana nasikia mambo yapo na yanafanyika. Je tiba ipo ya tatizo kama hili? Au mimi ndo basi tena kwishney? Natamani mno hali yangu ya awali irudi.
Wanajamii wenzagu, kwa yeyote mwenye idea au experience juu ya tatizo kama hili, jamani naombeni sana ushauri wenu. Mwanaume naaibika sana jaman. Wanawake wananikimbia, kila ninaempata ananiacha solemba. Sasa naogopa sana kutongoza mademu, maana kila ninaempata naishia kuumbuka tu jamani. Now nipo mpweke kama mti jangwani! Sina raha, tatizo hili linaninyima amani na furaha myoni. Dah inauma sana jamani.
Mnisamehe kwa kuwachosha kwa barua hii ndefu.
Natanguliza shukrani, na mungu awabariki wanajamii-forum wote.