Dr wa ukweli
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 900
- 271
alivyompenda c alijua kazi yake?
jibu zuriii sanaaa,kwani mwazo hakujuaa huyo mwanamke ni stejii show aka mkata nyongaa,piaa ile ni ajiraa lakini wangapi wake zao wanafanya kazi night ilaa wanajiheshimu.inatakiwaa atafute siku moja mpenzi wake yuko free ana furaha aongee nae.
Ndugu yangu, si unajua kuwa kipenda roho hukla nyamba mbichi? basi, achana na kazi unayoifanya sasa hivi, jifunze na wewe kucheza shoo, ukishafuzu mtaendana tuWapendwa kuna mpangaji mwenzangu kapata demu mcheza shoo anampenda sana tatizo huyu demu kila cku anarud saa 9 au 10 alfajiri na anakuwa amechoka sana kutokana na kaz yake ya kukatika majukwaani, anaomba ushauri kwani anataka kumuacha mshua ni mwajiriwa sasa muda wa kuwa nae hana ni wk end tu tena asubuh had mchana jioni kama kawa anasepa knye kukatika, demu hatak kaz nyingne. Afanyeje?
issue c kuchelewa kurud!yaan kucheza show ni tatzo,maanda maungo ya mwili wadau wote wanayaona!
mmmmmhhhhh!!!!Ka vp nae aanze kucheza show.