Demu mchesha shoo

kwani bendi zinapiga siku saba kwa wiki?
 
Walikutana knye shoo kazini kwa mshua, kuna siku walikuja kutoa burudani knye part ofsini kwao jamaa akafika bei, mwanzoni ilikuwa anaenda shoo siku 4 kwa wk ila kwa sasa ni kila siku akija amechoka hapat huduma had j2

Simple...

Mwambie jamaa aanzishe bendi ya sebene, na amuajiri huyo demu. Siku anataka mkewe asiende, anamwambia kiongozi wa bendi siku hiyo kusiwepo na shoo...
 

Kayataka mwenyewe huyo!
 
jaman nae aende huko kwenye shoo akaone mauno ya demu wake vizuri......
 
Huyu bwana hamjamsaidia, inatakiwa aoe/aongeze mwanamke mwingine wawe wawili mambo yote yatajirekebisha.
 
Ukipenda mboga ya maboga upende na boga lake
 
asa kipi cha ajabu maana kama anaumizwa na kucheza shoo basi amtafutie kazi nyingine au biashara ambayo itamlipa kuliko hiyo. Mi nashangaa sana wengine wanalalamika MKE WANGU GOLI KIPA huyo analalamika mkewe mcheza show ANYWAY WE DIFFER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…