Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 17
Nanukuu
"Nilikutana nae kwa mshikaji, kaniambia walikuwa wanasoma pamoja
nikakutana nae mtaani, nikamnunulia msosi, tukabadilisha namba
tukaanza kuchati, mambo ya message usiku kucha, nikampeleka slipway mara mbili, movie mara moja
Kaniambia ananipenda, nami nikampenda tena kwa dhati
kaniomba vocha, nikamtumia, akanibeep nilipopiga, kasema ahsante
nikamwambia tutoke kideti Movenpeak, akaja na mdogo wake, nikalipia gharama
Baada ya wiki, akaniomba laki, nikwamwambia subiri, bado sipo freshi, sasa hajibu message na simu anakata
si miyeyusho au?"

Ungeanza kwa kumpeleka chawote au zero pub sana sana angeanza kukuomba kama 20k or below. sasa m2 kaja na mdogo wake moven pick umeclear bill. Si ashakuona Bab kubwa hiyo laki kwako ni kama 10k tu. Ndo maana kaona kama unamyeyusha vile!! kwa kumnyims hiyo laki, au nimekosea jamani?
ASome men deserve that, maana hawatulii kila wakionacho wanakitolea macho, hii ndo fidia, utachunika wewe hadi jasho likutoke. sasa kama mtu ulikuwa hujamjua vizuri move n pick, sijui slip way kufanya nini? mwenyewe umemuonyeaha unazo, yani bab kubwa, sasa unashindwaje kutoa laki? Tatizo ni wanaume wengine kutaka kuwahadaa wadada kwa date za nguvu magari makubwa etc, sasa ukikutana na msanii kama huyo kaa chonjo coz you aint going to win man
na wewe bana!avator yako ndo nini ivo?!😀umenunua vocha akabeep..!baada ya wiki tu anataka laki shame on her alitaka kukufanya ATM.