demu nimemtosa.....lakini!!

kwaiyo daily muwalize mademu tu lakin nyinyi ahh apana cz mna damu na nyama lakin mademu wana mifupa tu so wanaweza kuvumilia?

kwamba dawa ya moto ni moto? ni wewe rose?
 
Kakakiiza, nyie ndo wabinafsi ...kwa nini umharibie ? Ulipata nini? Kwa kuwa hutaki hutaki kutumia sukari ndo uimwagie mafuta ya taa ili isitumike?
Ungemmega alafu ukasepa. Akale wapi? akaolewe na nani? Badilika Bwana!
 
Jamani ukimtenda mpenzi wako na ukaona amekaa kimya usifikiri kuwa umepata boya la kuchezea..

Kweli ukiona mpenzi wako yupo kimya jiulize sana maswali hakuna anayependa kuwa mbali kimawasiliano na mpenzi wake....ukiona hivyo ni dalili za kibuti cha kimya kimya
 
Kakakiiza, nyie ndo wabinafsi ...kwa nini umharibie ? Ulipata nini? Kwa kuwa hutaki hutaki kutumia sukari ndo uimwagie mafuta ya taa ili isitumike?
Ungemmega alafu ukasepa. Akale wapi? akaolewe na nani? Badilika Bwana!

Dawa ya anayemwaga mboga wewe kata kipande cha Ugali then kajaga ule ugali uliobaki
 
dah! hapa inaonekana kuku kapanda baskeli bata kavaa raizoni!

will b bek, acha nikachukue brif kesi langu la ushauri, stey chuned
 

Tatizo ukiwaonyeshea upendo wao wanaona wamekutite uwezi kufurukuta!!
 
ROSE 1980 bwana unaniachaga hoi hivi unaonaje tukutane siku moja kila mmoja wetu acheke kivyake??
Kakakiza hapa kimaslai zaidi! Ila du anaweza fikiri upo kama avatar yako hiyo!
 
Da!Kaz kweli kweli yaan wanatupanga kama matofali. Kuwa na mpenzi asiye mwaminifu is simply wastage of time japo hilo suala la kumuharibia kwa jamaa mwingine siliungi mkono nadhani ni hasira tu zilimpanda KK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…